Pages

Sunday, 8 February 2015

BIRIANI



Biriani ni chakula kinachoandaliwa kwa kutumia mchele pamoja na mchanganyiko wa vitu mbalimbali,
Kama vile mbatata, uzile, vitunguu maji na thom, mdalasini ,nyama au hata kuku, itategemea na wewe mwenyewe  kitoweo gani utapenda, na vyenginevyo.

1 comment:

  1. Chakula kizuri na chenye ladha maridadi kinapopata mpishi wa ukweli.

    ReplyDelete