Pages

Sunday, 8 February 2015

VIAZI VITAMU



Viazi vitamu ni chakula ambacho wazanzibari hupenda kuvipika vya kuchemsha,  vya nazi na hata vya kukaanga. Viazi hivi huliwa asubuhi kwa chai, mchana na hata usiku na pia huliwa kama futar kipindi cha ramadhani.

No comments:

Post a Comment