Visheti pia ni
chakula ambacho hupikwa kwa kutumia unga wa ngano, sukari, hiliki na nazi
iliyokunwa bila ya kuchujwa, hupikwa kwa kukanda unga, kukata na kuchoma kwa
mafuta na baadae unatia sukari yako ambayo hujulikana kama ni shira. Mara nyingi
visheti hivi huitwa vishet vya namba nane. Mara nyingi watu wa Zanzibar hula
visheri hivi wakati wa asubuhi kwa chai.
Shangazi yangu alikuwa akipika hivi visheti.
ReplyDelete