UROJO
Urojo ni chakula kinachopendwa sana na wakaazi wa zaznibar. Chakula
hichi hupikwa kwa unga wa ngano, ndimu, bizari na chumvi na unapoliwa
huchanganywa na badia, kachori, chipsi za muhogo, mishkaki na hata yai, urojo
huliwa wakati wowote lakini mara nyingi huliwa asubuhi na usiku.
Nimeukumbuka urojom mpaka basi, wee acha tu.*
ReplyDelete