Sambusa ni chakula kinachopikwa kwa mchanganyiko wa viungo
tofauti, vitu hivyo nikama vile nyama,vitunguu maji, napi unaweza kutia pilipil
boga na kerot kama utapenda. Vyakula
kama sambusa maranying hutumiwa kwenye sehemu za sherehe au siku za skukuu.
Chapat ni aina ya
chakula kinachopikwa kwa kutumia unga wa
ngano, mafuta ya kula, chumvi na pia samli waweza kutia katika upishi huo.
Mara nying chapti hupikwa kwa ajli ya chakula cha asubuhi ama usiku.
Maini ni jamii ya
kitoweo ambacho hupikwa kwa ajli ya kutowelea vyakula vyengine, kama chapatti
na hata maandaz. Pia chaweza kuliwa kama
kiburudisho (kitafunwaji).
No comments:
Post a Comment